Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

November 26, 2012

Breaking News! Sharo Milionea amefariki kwa ajali ya gari!

Hussein Ramadhani Mkieti "Sharo Milionea"

Habari zilizoifikia Maisha Times hivi punde zinaripoti kwamba Msanii-Muigizaji wa filamu na mchekeshaji nchini Hussein Ramadhani Mkieti almaarufu kwa jina la "Sharo Milionea" amefariki dunia kwa ajali mbaya ya gari iliyotokea huko Lusanga, Muheza mkoani Tanga. Aidha Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Tanga, Constatine Massawe amekiri kutokea kwa kifo cha msanii huyo

Uongozi wa Blog ya Maisha Times unatoa pole kwa ndugu,jamaa, marafiki na Taifa kwa ujumla.

Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi.

No comments:

Post a Comment