Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

November 29, 2012

CECAFA Challenge-Uwanja wa Mandela-Namboole-Uganda unaidhalililisha na kuishushia hadhi michuano hiyo!




Wachezaji wa Zanzibar Heroes wakishangilia Goal lao la pili dhidi ya timu ya taifa ya Rwanda [Amavubi]

Afadhali hii kuliko Mandela..!!..

Hivi ndivyo hali ya uwanja ilivyokuwa wakati timu ya Zanzibar Heroes ya Zanzibar ilipokuwa ikichuana na timu ya taifa ya Rwanda [Amavubi] wakati wa mechi yao ya Kundi C la michuano CECAFA Challenge kwenye Uwanja wa Nelson Mandela uliopo Namboole nchini Uganda jana. Zanzibar Heroes walishinda 2-1. 
Baadhi ya washabiki na wapenzi wa mpira wamelaumu maandalizi mabovu ya michuano hiyo kutokana na kile wanachokisema kwamba ni kulazimisha matumizi ya uwanja mbovu wa Namboole nchini Uganda ambao moja kwa moja unaidhalililisha na kuishushia hadhi michuano ya CECAFA!

No comments:

Post a Comment