Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

November 28, 2012

-§-Kelele za Muziki, Mikutano nk. katika maeneo ya makazi ya watu mwisho!


Kamanda wa Jeshi la Polisi katika mkoa wa Kinondoni Ndg. Charles Kenyela

Hayo yamesemwa leo na Kamanda wa Jeshi la Polisi wa mkoa wa Kinondoni Ndg. Charles Kenyela.

Kauli ya Kamanda huyo imetokana na kero mbalimbali ambazo jeshi la Polisi limekuwa likizipokea kwa wingi kutoka kwa Wananchi kuhusiana na usumbufu ambao wamekuwa wakiupata kutokana na kelele mbalimbali zinazokuwa zikisababishwa na Kelele mbalimbali haswa Muziki unaokuwa ukifunguliwa kwa sauti kubwa kutoka katika Bar, Kumbi za Starehe, Kumbi za Harusi nk haswa nyakati za usiku na kupelekea kero kubwa kwa wananchi.


No comments:

Post a Comment