Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

May 22, 2013

BANGI ni tiba!


Ingawa kulingana na Sheria za nchi yetu ya Tanzania Bangi ni kilevi haramu na kinachopigwa vita kila kona labda kutokana na kukiuka maadili na pia matumizi yake kuonekana ni yenye kuweza kusababisha/kupelekea madhara katika miili ya wale wanaotumia (Wavutaji) hali ni tofauti kabisa kwa wataalam mbalimbali (Wataalamu wa magharibi) ambao kutokana na tafiti zao wamebaini kwamba iwapo kilevi hicho kikitumika inavyotakikana kinaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kukinga na kuponya magonjwa mengi yanayoweza kuushabulia mwili wa binadamu.

Kwa maelezo zaidi ya kitaalam bofya Link hizi
http://www.medical-marijuana.com/strains.php

No comments:

Post a Comment