Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

May 7, 2013

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU: Unadhani ni nani ataibuka kidedea kupeperusha bendera ya CCM-Urais 2015?

Waziri Mkuu wa Serikali ya Tanzania Mh. Mizengo Pinda

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mh. Samwel Sitta 

 Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM na Mwanadiplomasia wa Kimataifa Dkt. Salim Ahmed Salim 

Waziri Mkuu aliyejiuzulu na Mbunge wa jimbo la Monduli Mh. Edward Lowassa

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Mh. Dkt. Asha-Rose Migiro

 Waziri wa Ujenzi Mh. Dkt. John Magufuli  

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe 

 Waziri wa Uchukuzi, Mh. Dkt Harrison Mwakyembe

No comments:

Post a Comment