4. Rais wa awamu ya nne ya Utawala wa Tanzania: Jakaya Mrisho Kikwete
3. Rais wa awamu ya tatu ya Utawala wa Tanzania: Benjamin William Mkapa.
2. Rais wa awamu ya pili ya Utawala wa Tanzania: Ally Hassan Mwinyi.
1. Rais wa awamu ya kwanza ya Utawala wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
mimi nafikiri ni vizuri kuwalinganisha waliostaafu pekee...tunaweza kumuona aliyeko madarakani ni hovyo...lakn akafanya kweli...(and vice-versa) hajamaliza muda wake!!!!
ReplyDeleteNa mimi Pamoja na kuungana na Anonymous wa hapo juu 05:15AM naongeza ingependeza uweke sehemu itayoonesha matokeo ya wale wote wataotoa rai zao kuhusu kiongozi wataomchagua ili wengine watapokuwa wakisoma waweze kuelewa rai za wengineo
ReplyDeleteI think wa awamu ya tatu kafanya kweli yalioonekana kwa muda mfupi ukilinganisha na sasa...
ReplyDeleteHata kama hajamaliza muda wake, there is no way anaweza akafanya mabadiliko yoyote kwa sasa yatakayonifanya nibadili msimamo wangu. Kwangu 1. Mkapa 2. Nyerere 3. Mwinyi 4. Kikwete
ReplyDeleteSomething wrong with you! We mdini!
DeleteOna sasa wewe umedakia udini na sioni sababu za maelezo yako.
DeleteDon't take everything at a face value retard!
Watanzania tusiwe wajinga kama Walibya na Wamisri! Ukitaka kumpima rais ubora wake weka vigezo kwa Umuhimu wake!
ReplyDeleteMfano: 1. Usalama wa Raia na mali zao.
2.Uwazi na utawala wa sheria
3. Miundo mbinu
4.Afya
5.Elimu nk.
Sasa hapa naona mipumba tu mnatuchafulia hewa tu unasema fulani kafanya vizuri kwa kigezo gani?