Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

January 10, 2012

Hukumu ya Diamond



Katika hali iliyowaacha wengi midomo wazi, msanii Diamond amehukumiwa kwenda jela kwa muda wa miei sita au kulipa faini ya shiling 50,000/= kwa kosa la kumshambulia mwandishi wa mjini Iringa bwana Francis Godwin mwishoni mwa mwaka jana.

Swali kubwa ambalo wengi wanajiuliza ni, je? Hukumu hii ni ya haki? Na iwapo adhabu hutolewa ili kutumika kama mfano kwa wengine watakaotenda makosa, je? Hukumu hii inalenga kupunguza vitendo kama hivi?

1 comment:

  1. Sibuor8:34 PM

    Naona hizi hukumu zipo kwa ajili ya kuwaongezea watu vibuli tu na nyodo.

    ReplyDelete