Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

January 4, 2012

-}i{- BREAKING NEWS: Hamad Rashid afukuzwa rasmi Uanachama CUF


                                       
Mbunge wa Wawi-kupitia tiketi ya chama cha Wananchi [CUF]

Habari zilizoifikia Blog ya Maisha Times zinasema kwamba Mbunge wa Wawi kupitia tiketi ya Chama cha Wananchi [CUF] Mh. Hamad Rashid Mohamed na wenzake watatu wamefukuzwa na Uongozi wa Chama hicho chenye umaarufu na wafuasi wengi zaidi visiwani Zanzibar. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya Mbunge huyo kuwa kwenye msuguano mkubwa na Katibu Mkuu wa chama hicho ambaye pia ni makamu wa pili wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad. Maamuzi hayo yamefanyika katika kikao cha dharura kilichofanyika Zanzibar mapema hivi leo..

Maisha Times itaendelea kukupa habari zaidi kadiri zitakavyopatikana.

No comments:

Post a Comment