Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

February 7, 2012

Skin bleaching...seriously!

Hii ngoja niiapproach sensitively maana....mhhhh.
Najua wengi tumeshasikia kuhusu hii ishu. In the 90s and 00s, ''mkorogo'' lilikuwa moja ya maneno maarufu mitaani na hata kwenye vyombo vya habari. Nyakati hizo, baadhi yetu tuliposikia mkorogo, tuliassociate neno hilo na hali kama hii.


Currently however, inaonekana kuwa mkorogo umeivolve to a different level all together although the end goal has remained the same....getting lighter skin.
But the fear that was often associated with ''mkorogo'' has to a large extent being eliminated. And so when we now hear of ''caro light'' this is what comes to mind.


But the questions that I cannot stop to ask myself are 
a) Is it necessary? 
b)Are the negative effects worth it?
And most importantly, what is it about lighter skin that make our young people (both men and women) go to such lengths just to get it
Whatever happened to black is beauty?

Kwanini hatujipendi na kujiappreciate?



 

What are your thoughts?

2 comments: