Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

February 8, 2012

-}i{- Wanaharakati waandamana na kufunga barabara jijini Dar es salaam kuishinikiza Serikali kumaliza mgogoro wake na Madaktari..

 Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu mama Helen Kijo Bisimba kulia alikuwa ni mmoja ya Wanaharakati walioongoza Maandamano hayo yaliyotokea leo mida ya alasiri katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi-Salender Bridge kuishinikiza Serikali kumaliza mgogoro wake na Madaktari..

  Askari waliokuwepo katika eneo la Tukio wakitoa Amri ya kuwataka wanaharakati hao kuondoka katika eneo la tukio kutokana na Maandamano hayo kutokuwa halali kisheria..

 Baadhi ya Wananchi waliojitokeza katika Maandamano hayo wakiwa na Mabango yao yenye ujumbe tofauti tofauti kwa Serikali..

Moja ya bango lililonivutia zaidi lilikuwa ni hili lenye ujumbe usemao "Niueni mimi Wagonjwa wapone" "Kill me save the Sick"

No comments:

Post a Comment