Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

June 24, 2013

Kitenge Maulid Kitenge atangaza kugombea ubunge jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CCM!


Kitenge Maulid Kitenge

Mtangazaji maarufu wa kipindi cha michezo na taarifa ya habari ITV na Radio One, Kitenge Maulid Kitenge kwa kupitia mtandao wa Instagram na Twitter ametangaza kugombea ubunge jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CCM.
Kitenge anakuwa miongoni mwa watu maarufu na wasanii waliotangaza nia hiyo kama Soggy Dogg Hunter (CHADEMA, Segerea) na Afande Sele (CHADEMA, Morogoro).

Aidha, kuna tetesi kuwa huenda wasanii MwanaFA (CCM) na Prof Jay (CHADEMA) wakatangaza nia bila kumsahau msanii wa Bongo movie Ray Kigosi.

1 comment:

  1. Anonymous10:16 AM

    Good luck Maulid, kama hiyo ndio nia yako, basi Mungu akujaalie itimie, ukawatetee vijana na soka la Bongo kwa ujumla, pamoja sana kaka.

    ReplyDelete