Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

October 18, 2012

-§- Picha ya uchi ya Miss Karun wa kundi la Camp Mulla

Habari hii ni kwa wakubwa tu [Umri-Miaka18 au zaidi]
 
 Picha mbili za uchi zinazomuonyesha Msanii wa kike wa kundi la Muziki "Camp Mulla" la nchini Kenya-Miss Karun ambazo zimesambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii na kushindwa kueleweka mara moja kama ni za kutengenezwa kwa nia ya kumchafua au ni za kweli zenye lengo la  kumwongezea umaarufu, hali ambayo imepelekea tafrani kubwa kwa mwanadada huyo ambaye baada ya kuhojiwa amekataa katakata kuhusika na picha hiyo.

Picha ya pamoja ya Wasanii wa Muziki wa kundi la Camp Mulla la Nchini Kenya, Wa pili kutoka kushoto ndiye mwanadada Miss Karun.

 Camp Mulla

Chanzo: http://www.kenyan-post.com/


No comments:

Post a Comment