Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

June 24, 2013

Rais Jk amuapisha Mhe. Mwantumu Maiza kuwa Mkuu wa Scout Tanzania!


Bi Mwantumu Bakari Maiza

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemuapisha Bi Mwantumu Bakari Maiza kuwa Mkuu wa Scout Tanzania. Bi Mwantumu ameteuliwa kushika wadhifa huo kwa muda wa miaka minne kuanzia sasa hiyo ikiwa ni baada ya Kanali Mstaafu Iddi Kipingu aliyekuwa Mkuu wa Scout Tanzania kumaliza muda wake katika wadhifa huo.

Kwa Mujibu wa barua ya katibu mkuu Kiongozi balozi  Ombeni Sefue inasema kwamba Bi Mwantumu aliteuliwa tangu tangu 19 April 2013.

No comments:

Post a Comment