Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

June 24, 2013

Sina sababu ya kufuta wala kuomba radhi kwa kauli yangu-Joseph Mbilinyi!

 
Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi
Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi amesema na kuzidi kusisitiza kwamba hana sababu ya kufuta kauli yake ambayo aliiandika katika ukurasa wake wa facebook siku mbili zilizopita. Kauli hiyo aliyoiandika leo katika ukurasa wake wa facebook inasema hivi "naskia kuwa watu wanasema kwamba eti nimefuta kauli yangu kuhusu waziri mkuu na amri yake kwa polisi kupiga wananchi?!...sina sababu ya kufuta wala kuomba radhi, na nasimamia kauli yangu to the end...kwanza 'upumbavu' sio tusi,upumbavu kwa kiingereza ni stupidity-which is lack of knowledge and understanding...so hata uwe na cheo gani kama ukishindwa kuwa na 'understanding' juu ya madhara ya kauli zako kwa taifa then u r 'stupid'...ambapo kwa kiswahili ndio 'mpumbavu''
 

1 comment:

  1. Ukosefu wa busara na kuvunja katiba.... SIKUPENDA, SIJAPENDA na SITAPENDA VIONGOZI WA AINA HII WANAOLEWA MADARAKA..................

    ReplyDelete