Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

June 24, 2013

Ni zamu yangu kuwatumikia wana-Segerea 2015 kupitia CHADEMA-Soggy Doggy!

 


Hivi ndivyo Msanii wa Bongo Flavour almaarufu kama Soggy Doggy alivyofunguka katika ukurasa wake wa Twitter na Facebook "Shikamoo Mbunge wa Segerea Bwana Makongoro Mahanga, imetosha sasa nadhani ni zamu yangu kuwatumikia wana-Segerea 2015 kupitia CHADEMA"  
Habari hii imeonekana kuwafurahisha mashabiki na wafuasi wengi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
 

No comments:

Post a Comment