Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

August 19, 2012

-}i{- You Can Only find in Tanzania..!i..

Yapo Maajabu mengi sana lakini Maajabu ya Wiki Hii Yaliyo Tanzania ni kama Ifuatavyo:
1. Mmoja wa Majaji Walioteuliwa kwa Mujibu wa Tundu Lissu Kumbe ndo kwanza anasoma shahada so darasani nae anasoma"What is Law of Torts" then anapata SUP...... You can Only find in Tanzania.
2. Serikali Makini ambayo sio dhaifu ina Watumishi Hewa 9,949 wanaopata Mshahara ambao Jumla ya hela inayopotea ni kama Bil 70 ambazo zingetumika kulipa Madaktari na walimu, lakini Serikali inasema haina hela, hawana hela ya kulipa walimu na Madaktari ila wanazo za Watumishi hewa...... You can Only find in Tanzania
 3. Serikali Ya Uingereza Ilirudisha Chenji ya RADA, Serikali ikasema hela inapeleka Kununulia Vitabu kwa Ajili ya Shule Nchi nzima, Kumbe Kampuni iliyopewa tenda ya Kusambaza Vitabu nchi nzima ilitoa rushwa ya dola 500,000 kupata tender Serikali ya Uingereza imeifungia miaka 7...... You Can Only find in Tanzania.

4. Wanafunzi Waliofaulu Darasa la Saba get me well waliofaulu darasa la 7 kwenda Sekondary Hawajui Kusoma wala Kuandika, Je waliofeli Watakuwa hawajui kufanya nini...You Can Only Find In Tanzania

5. Washiriki wa Michezo ya Kimataifa (sijataja Mchezo wala mashindano) wako watano (5) lakini wanaowasindikiza Washiriki wako 12..... You can Only find in Tanzania.
6. Sehemu Pekee ambayo Mtu uliyetaka Kumdhuru kwa Kukusumbua then unaomba Umlinde (refer to Ulimboka's Case)..Yaani Mbwa Mwitu anaomba kazi ya Kulinda Mbuzi......You Can Only find in Tanzania.


Yapo Maajabu Mengi sana sijui lipi nimesahau..??..

No comments:

Post a Comment