Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

September 11, 2012

Breaking News: Waziri Nchimbi atimuliwa na Waandishi wa habari-Viwanja vya Jangwani


Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania Dk. Emmanuel Nchimbi

Umati wa waandishi wa habari muda huu katika viwanja vya jangwani 

Habari zilizoifikia MaishaTimes hivi punde zinasema kwamba Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania Dk. Emmanuel Nchimbi. ametimuliwa na kundi la Waandishi wa habari waliokutana katika viwanja vya jangwani jijini Dar es salaam kuadhimisha maandamano ya kupinga mauaji ya kinyama ya Mwandishi mwenzao wa habari Marehemu Daudi Mwangosi [Chanel Ten] . 

Dk. Emmanuel Nchimbi. alifika uwanjani hapo kwa kile kinachosemekana ni kuyapokea maandamano hayo ya Waandishi wa habari.

MaishaTimes itazidi kukuletea habari zaidi juu ya sakata hili kadiri zitakavyopatikana.

No comments:

Post a Comment