Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

September 2, 2012

POLISI WAMPIGA NA KUMUUA MWANDISHI WA HABARI- DAUDI MWANGOSI

 
    Marehemu Daudi Mwangosi 
 
Pichani polisi wa kutuliza ghasia "FFU" wakimsulubu Mwandishi wa habari wa kituo cha Chanel Ten Ndugu Daudi Mwangosi 

Katika hali ya kusikitisha, mwandishi wa habari wa Chanel Ten mkoani Iringa ambae pia alikuwa ni mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoani humo, ndugu Daud Mwangosi ameuwawa katika vurugu za Polisi na wafuasi wa Chadema katika kijiji cha Nyololo wilaya ya Mufindi mkoani Iringa leo.

Maishatimes inaungana na ndugu, jamaa, marafiki na taifa zima kwa ujumla katika majonzi makubwa ya kuondokewa na mwenzetu huyu. Tunaungana pia na wale wote walioko katika mstari wa mbele katika kupiga vita unyanyasaji wa raia na ukiukwaji wa haki za binadamu.

No comments:

Post a Comment