Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

October 15, 2012

-}i{- Kuvaa Mlegezo ni Fashion au Uhuni?




 "Mlegezo"

Katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania na duniani kote kwa ujumla imekuwa ni kama jambo la kawaida kuwaona watu mbalimbali haswa vijana wakiwa wamevalia suruali zao chini kabisa ya makalio na kuweza kuonyesha nguo zao za ndani na hata baadhi ya sehemu za makalio, jambo ambalo kwa upande mmoja baadhi ya watu wamekuwa wakiliunga mkono na kulichukulia kwamba ni jambo la kawaida kuendana na wakati [fashion] na kwa upande wa pili baadhi ya watu wamekuwa wakilipinga kwa kile kinachoonekana kwamba ni uhuni na kujidhalilisha, Je wewe kama wewe unasemaje, Kuvaa Mlegezo ni Fashion Au Uhuni?


 

No comments:

Post a Comment