Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

October 19, 2012

-}i{- VURUGU NA MAANDAMANO YA WAISLAM KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA PICHA!

WENGINE WAKUTWA WAKIWA KARIBU KABISA NA MAENEO YA IKULU!











 Huyu ni mmoja wa waandamanaji wa Kiislam ambaye alionekana kuwaletea vurugu Polisi wa kutuliza Ghasia [FFU] akiwa amedhibitiwa katika gari la Polisi. Maisha Times ilijaribu kutafuta jina la kijana huyu pasipo nmafanikio

Askari polisi wakifanya doria katika maeneo mbalimbali ya katikati ya jiji



Jeshi nalo halikuwa nyuma katika kutoa msaada kwa Polisi

Hali ya utulivu katika maeneo ya katikati ya jiji baada ya Jeshi la Polisi kufanya Operesheni ya kuvunja Maandamano na Vurugu za Waislam.

No comments:

Post a Comment