Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

October 1, 2012

-§- Wanaume tuna kazi kubwa kupata Wanawake/Wake halisia!

Dunia imefikia ukomo

Hizi ni baadhi ya sifa za mwanamke wa kisasa anayejikubali na kujiaminisha kwamba ni Mrembo:

1. Nywele za bandia [Wig]
2. Kope za Bandia,
3. Nyusi za Bandia,
4. Mboni za bandia [Eyelashes]
5. Kucha za bandia,
6. Makalio ya Bandia [Mchina]
7. Ngozi/Weupe wa bandia [Carolite]
8. Matiti ya bandia,


Na mengineyo ya ndani ambayo Wanaume hatuwezi kuyajua kwa urahisi.



No comments:

Post a Comment