Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

November 22, 2012

-§- MAGARI YA SERIKALI NA STAREHE ZA VIGOGO!!

Lisemwalo lipo na kama halipo laja!
Hivi ndivyo jinsi Gari la serikali aina ya Land Cruiser-V8 "Shangingi" lilivyokutwa na mpiga picha wetu katika maeneo ya katikati ya jiji likiwa na "Plate Number" mbili tofauti kwa wakati mmoja, ile ya Binafsi kwa nje na ile ya Serikali kwa ndani! Je hii ni sahihi? wewe kama mwananchi unaizungumziaje tabia hii?

No comments:

Post a Comment