Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

March 14, 2013

SIRI ya kutekwa Kibanda, Video ya Lwakatare yazidi kufichua mengi!

Hatimeye siri ya kutekwa, kuteswa na kunyofolewa kuchwa kwa Mhariri Mtendaji wa magazeti ya New Habari, Absolom KIbanda na unaoitwa mkanda wa video wa Willifred Lwakatare, imefichuka rasmi.

Kwamba mchezo mzima umefanywa na Idara ya Usalama wa Taifa na ofisi binafsi ya Rais (ORB).


Vyanzo vya taarifa kutoka ndani ya TISS vinathibitisha kwa asilimia 100 kuwa mkanda wa video wa Lwakatare na kutekwa kwa Kibanda kumefanywa na watu wa ndani ya idara hiyo.


Angalia haya mawasiliano ya wana Ofisi Binafsi ya Rais; pamoja na comment inayotolewa na Michuzi. Hapa unapata uthibitisho wa nani alitengeneza hii video.


Michuzi anaipongeza idara ya usalama kwa kuleta hii kitu. Anathibitisha kwamba ni kazi ya mikono ya usalama. Anawahamasisha wenzake wawakamate CDM kwa sababu ya video hii na kwamba hii ni kete kubwa CCM.


Maneno ya Michuzi yanayoonyesha kwamba Usalama ndio umeleta hii video, yanathibitisha kwamba usalama ndiyo waliomtesa Kibanda ili watumie kigezo cha kumkamata Lwakatare. Hapa ndipo tunapopaswa kutilia mashaka uchunguzi wa vyombo vya dola vya ndani.


Habari zinasema kuna mkakati mkubwa unasukwa wa kutengeneza video nyingi kwa watu mbalimbali kuwahusisha na ufadhiri wa vitendo vya uharamia huu unaofanywa nchini. Mtu wangu wa karibu ameniambia kuwa wanampango wa kumtengenezea video kama hiyo, Mengi, Lowassa na Freeman Mbowe ili kuwanyamazisha.


Mengi, Lowassa na Mbowe wao watatengenezewa zengwe kwamba ndiyo wafadhili wa hili genge. Nao ama watakamatwa au watakuwa blackmailed.


Haya hapa mawasiliano ya siri ya IKULU
http://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=87177&d=1363446098



No comments:

Post a Comment