Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

July 10, 2013

Skendo ya Mtanzania anayetuhumiwa kukamatwa S.A na Madawa ya Kulevya ukweli ni huu!





 
Baada ya habari za kukamatwa kwa mwadada Mtanzania Agness Gerald na Melisa Edward kwa tuhuma za  kukutwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 6 kuenea na kuthibitishwa na Kamanda wa Jeshi la Polisi kitengo cha kuzuia na kupambana na madawa ya kulevya Godfrey Nzowa Agness Gerald ambaye wengi wamedai kwamba ni Aggy Masogange ambae yuko nchini South Africa mpaka dakika hii (haijajulikana kama ni yeye kweli) ameonekana akiendelea kuandika kupitia mtandao wa instagram licha ya kutangazwa kwa habari hizo za kukamatwa kwake.
 
Masaa machache yaliyopita Aggy amepost picha (hiyo hapo juu) na comments zake ndio kama zinavyoonekana hapo juu!

Swali linalobaki vichwani mwa wengi ni je, Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya Uongo kuhusu Mtanzania huyo aliyekamatwa na Madawa ya Kulevya nchini Africa Kusini?!
 

3 comments:

  1. Anonymous6:20 PM

    sijapata kuona watu wanaopenda umbea na udaku kama watanzania! khaaa

    ReplyDelete
  2. Anonymous6:31 PM

    labda alitumwa na jes la polis

    ReplyDelete
  3. Anonymous3:13 PM

    mmmmmmh

    ReplyDelete