Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

December 10, 2011

Karibuni


Lengo la Blog hii ni kupokea na kutoa Habari na Mitazamo mbalimbali juu ya Maisha na mambo yanayotuzunguka katika maisha yetu ya kila siku.

"Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii".  KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977. Uhuru wa Maoni Sheria ya 1984 Na.15 ib.6, 18.-(1)

3 comments: