Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

March 10, 2012

Coming Up: Maisha Voice



Siku za karibuni, tumekuwa tukifanya marekebisho na kutafuta mbinu mpya za kuboresha blog hii.
Kati ya vitu hivyo, tumeona vyema kuanzisha Maisha Voice, itakayokupa nafasi ya kusikia kutoka kwa mmoja wa wafuatiliaji wetu kuhusu mambo mbalimbali ya kiuchumi na kijamii. Kipindi hiki kitakupa pia nafasi kutio mawazo yako na pia kutupa maoni yako juu ya mada tofauti tofauti tutakayoyaongelea. 
Karibuni sana.

No comments:

Post a Comment