Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

March 5, 2012

-}i{- UCHAFU NA MAKUNDI NDANI YA CCM HAYA HAPA!



Walimwengu husema lisemwalo lipo kama halipo laja, hatimaye siri na hila mbalimbali za Chama Cha Mapinduzi [CCM] zimeweza kuanikwa hadharani kupitia hadharani kupitia malumbano makali yaliyotokea katika ukurasa mmoja [TANURU LA FIKRA] unaopatikana katika mtandao wa kijamii wa Facebook. Malumbano hayo ambayo yalitokana na moja kati ya makundi mawili makubwa yanayodaiwa kuwemo ndani ya Chama Cha Mapinduzi kumtuhumu kwa Rushwa mgombea wa kiti cha Ubunge katika jimbo la Arumeru kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi-CCM, hali hiyo ilipelekea Kundi la upande wa pili kuamua kurudisha mashambulizi na kuzua malumbano makali ambayo yalipelekea kuweka wazi Uchafu na Makundi yanayokinzana vikali ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Habari hii ililetwa kwenu na mdau wa mtandao wa kijamii Comrade Sambala
  • 'SIOI SUMARI ATAKATWA JINA NA CC KWA TUHUMA ZA RUSHWA'
  • Mbali ya kupata kura 761 nusu ya alizopata mpinzani wake SARAKIKYA.
  • SIOI SUMARI huenda atakutana na panga la CC.
  • Hayo yamezihirika wazi kabisa toka usiku wa jana wakati yakifanyika maandalizi ya Uchaguzi wa leo.

Watu watatu muhumu wakiwa wamewasili kwenye hoteli ya MOUNT MERU

1.Lamlile Ngwenya (Mwanafunz wa UDOM)
2. Mohamed Ibrahim/ MO Ibrahim (Bilionea wa Kisudan)
3. Na Munira Jabir Kimaro. (Mwanamama muhasibu wa Madini)

Walianzisha Kampeni kali za kutaka SARAKIKYA ashinde. Baada ya Kubaini ngoma nzito. Kikosi kazi kilianza kazi 'MAALUMU'. Kujua zaidi tembelea Tanuru la Fikra

No comments:

Post a Comment