Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

August 27, 2012

-}i{- UCHAFU NA UTUPAJI HOVYO WA TAKATAKA NI JADI YETU WATANZANIA?

Mwenge-Dar es salaam
Pichani ni katika eneo la Mwenge karibu kabisa na mataa [Traffic Lights] nje ya stendi ya Mwenge kwenye kituo kidogo cha mabasi yaendayo Ubungo, Kimara, Buguruni na sehemu nyinginezo za jiji Dar es salaam wakati nilipopita kama dakika45 zilizopita na kujionea ukusanywaji/utupwaji hovyo wa takataka katika ukingo unaotenganisha barabara ya Sam Nujoma, wahusika sijui kama wanalitambua tatizo hili..







Manispaa ya mji wa Moshi katika mkoa wa Kilimanjaro imeweza vipi kukabiliana na tatizo la Uchafu kinyume na manispaa za jiji la Dar es salaam?









 Maeneo mbalimbali ya manispaa ya Moshi-Kilimanjaro

No comments:

Post a Comment