Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

November 3, 2012

-}i{- Kumbe Askari wa usalama barabarani nao wamo!

Mwanajeshi akila kipigo kikali kutoka kwa askari wa usalama barabarani!

Hii imetokea jana jijini Dar es salaam ambapo uvumilivu uliwashinda askari wawili wa usalama barabarani na kuamua kumpa kipigo kikali Mwanajeshi kama inavyoonekana pichani. 

Maisha Times haikuweza kufahamu mara moja chanzo cha Mwanajeshi huyo kuangushiwa kipigo kikali na Askari hao wawili wa Usalama barabarani.

No comments:

Post a Comment