Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

November 23, 2012

-§-Mawaziri wazomewa mbele ya Kinana!

Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahaman Kinana.

MAWAZIRI watatu wa Rais Jakaya Kikwete juzi walizomewa baada ya kupanda jukwaani kujibu kero mbalimbali za wananchi katika mkutano wa kwanza wa viongozi wapya wa CCM taifa, ulioongozwa na Katibu Mkuu wake, Abdulrahaman Kinana.

Tukio hilo lilitokea juzi mkoani Mtwara ambako Kinana na mawaziri hao walikuwa katika ziara ya chama kujibu kero mbalimbali za wananchi.Mawaziri waliokumbwa na dhahama hiyo ni Christopher Chiza wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Hawa Ghasia [Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - Tamisemi] Naibu wake, Aggrey Mwanri.

No comments:

Post a Comment