Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

November 23, 2012

-§- Wanafunzi wa "UDOM" na biashara ya Ukahaba mjini Dodoma!


Taarifa ya habari ya saa mbili usiku wa tarehe 23/11/2012 iliyorushwa hewani na kituo cha luninga cha
Star Tv imeeleza kwamba wanafunzi wa kike katika chuo hicho kikuu cha Dodoma [UDOM] wanadaiwa kujihusisha na biashara chafu ya "ukahaba" katika maeneo mbalimbali ya starehe mjini Dodoma, na kwa sasa vitendo hivyo vimekuwa ni kama jambo la kawaida kabisa kuonekana vikitukia katika sehemu mbalimbali za starehe mjini Dodoma! 

Hii sio mara ya kwanza kwa Wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini Tanzania haswa wale wa kike kuonekana wakijihusisha na vitendo vichafu haswa vile vya ukahaba.


No comments:

Post a Comment