Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

May 28, 2013

Breaking News: Msanii Albert Mangwear amefariki Dunia akiwa South Africa!

 Albert Mangwear
Habari zilizoifikia Maisha Times Blog hivi punde zinaripoti kwamba Msanii Albert Mangwear amefariki Dunia akiwa katika Hospital ya St. Hellen Johanesburg nchini Afrika ya Kusini.

Habari zaidi zinaripoti kwamba chanzo cha kifo cha msanii huyo ni matumizi makubwa ya madawa ya kulevya kiasi ambacho kilimzidi nguvu (Overdorse) na hatimaye kupelekea kifo chake.

Kuna habari nyingine ambazo zinasema kwamba msanii huyu hajafariki bali amepoteza fahamu kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya kiasi ambacho kilimzidi nguvu (Overdorse). Msanii mwenzake aitwaye M2 the P ambaye walikuwa wakitumia madawa hayo ya kulevya pamoja na Mangwear inasemekana kwamba yeye tayari amezinduka baada ya kupoteza fahamu kwa muda usiojulikana.


No comments:

Post a Comment