Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

May 20, 2013

Hoja nzito ya Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu" yapelekea kusitishwa kwa kikao cha Bunge!


Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu"

Hotuba ya Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu" iliyokuwa ikianika uonevu na mauaji yafanywayo na vyombo vya usalama nchini kwa waandishi wa habari imesababisha Spika wa Bunge Bi Anne Makinda kukatisha kikao hicho cha Bunge mpaka jioni. 
Endelea kuwa nasi na muda si mrefu tutakuletea habari ya kina kuhusiana na sakata hilo.

No comments:

Post a Comment