Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

May 20, 2013

Juma Nkamia: Jamii Forum inachafua na kuwagawa Watanzania ifungiwe!


Mbunge wa Kondoa kusini Juma Nkamia [CCM]

Akiwa na Mbunge wa Kasulu bwana Machari katika kipindi cha Jambo kinachorushwa kutoka Bungeni Mh. Machali ameusifia mtandao wa JF kuwa unapendwa na ni chanzo kizuri cha habari kwa Jamii hasa Tanzania na kama mkombozi kwa habari  nchini.
Cha kusikitisha Bwana Alhaj Juma Nkamia amedai kwamba Jamii Forum ni mtandao ambao hauna sifa ya kuitwa mtandao wa kijamii kwani unaandika uwongo na mambo ya kufikirika na hayaendani na utashi wa mtu.

Amedai anajua lazima Jamii Forum "Jf" wamwandike na hataacha kusema. Akaendelea kusema kwamba serikali inadai kuwa haiwafahamu wanaoandika utumbo katika mitandao kama jamii forum lakini anahoji iweje kama jamii forum kuna matangazo ya biashara na ni wazi kuwa wamiliki wake wanafahamika je, kwanini hawachukuliwi hatua?
 

No comments:

Post a Comment