Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

May 13, 2013

Kutoka Mahakamani- Hakimu wa kesi ya Lwakatare yupo likizo, dhamana imeshindikana kutolewa!


Hakimu anayesikiliza Kesi ya Lwakatare katika mahakama ya Kisutu Mh. Katemana yupo likizo kwa wiki mbili. Hivyo basi mahakama imeshindwa kutoa dhamana kwa Lwakatare na kupiga kalenda kesi hiyo mpaka Tarehe 27 mwezi huu. Lakini mawakili wa Lwakatare wanafanya juu chini ili waweze kupata dhamana hiyo japo juhudi zinaonekana kugonga mwamba. 

Chanzo-John Marwa aliyekuwepo mahakamani hapo



No comments:

Post a Comment