Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

May 12, 2013

Radio Clouds yafanikisha maandamano ya Wasanii nchini kutetea haki zao-Dodoma

Baadhi ya Wasanii wa Filamu hapa nchini Wema Sepetu sambamba na shosti yake Kajala walikuwa ni miongoni mwa wasaani waliounga mkono matembezi hayo ya mshikamano yaliyokuwa yametawaliwa pia na mabango kadhaa yaliyobeba jumbe mbalimbali za kupinga wizi wa kazi sanaa.




Sehemu ya umati wa watu ukiwa kwenye Matembezi ya mshikamano ya kuitaka Serikali iendelee kuzilinda fursa zilizopo na pia kuendelea kuutanua wigo wa upatikanaji wa fursa hizo kwa wasanii na vijana wenyewe katika nafasi ya kujikwamua kimaisha,ikiwa sambamba na kupinga wizi/uharamia wa kazi za sanaa hapa nchini,yaliyoanzia kwenye uwanja wa Jamhuri na kufikia tamati viwanja vya Nyerere

3 comments:

  1. Anonymous7:25 PM

    Wasanii wengi hawajielewi, jnaa kali na wafuata upepo

    ReplyDelete
  2. Anonymous7:26 PM

    wote walojitokeza kwenye hyo maandamano wasenge

    ReplyDelete
  3. Anonymous7:28 PM

    Wananchi na wasanii wengi walienda kumsanif wema sepetu kumuona alivyojikoboa na kuwa kama zeruzeru

    ReplyDelete