1. Kwanini bidhaa hizi zisirudishwe katika nchi zilipotoka kwa gharama za wale waliozileta na kuteketezwa huko?!

2. Hivi Tanzania ni dampo la uteketezaji wa takataka za ughaibuni?!


3. Nani atawafidia watanzania madhara (extenalities) yatakayotokana na uchafuzi wa hali ya hewa/uharibifu wa mazingira?!


4.
NEMC mko wapi?! Mnatambua au hamtambui wajibu wenu?! Au kazi yenu ni fitna, kutalii, kuzurura sehemu mbalimbali nchini huku mkitafuna bure kodi za watanzania wavuja jasho?!