Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

May 17, 2013

TID ajitoa kwenye Show ya Lady Jay Dee!

 Mwanamuziki Khalid Mohammed aka TID (Top In Dar)

TID & Jay Dee

Show ya Mwanamuziki nguli wa Muziki wa kizazi kipya Lady Jay Dee ya kutimiza miaka 13 katika tasnia ya muziki nchini imezidi kupata msukosuko baada ya msanii mwingine maarufu nchini TID "Top in Dar" kujitoa kwenye show hiyo.

Moja ya sababu zilizotolewa na TID ni kwamba amepata mkataba mwingine wa show unaolipa zaidi, sababu ya pili ni kwamba hataki kuwa katikati ya ugomvi wowote.

Na hivi ndivyo TID
alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Facebook: Nanukuu “Three reason why i can’t do lady JIDE SHOW...

1. I have better contract pays me better than.

2. I really don’t want to be between anybody’s conflict ya kwangu yananishinda naona nieupushe shari…

3. Nataka kuoa muda wangu ndo huu ……………kama nimekukosea captein na madame kazeni but I have been thru same shit.”

Kwa habari zilizopatikana zinasema mpaka sasa tayari Linah, Barnaba na Matonya wamejitoa kutumbuiza kwenye show hiyo ya Lady Jay Dee.

No comments:

Post a Comment