Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

June 8, 2013

Bonus Photo: Mungu ibariki Taifa Stars, Mungu Ibariki Tanzania!

 Kikosi cha timu ya Taifa Stars ya Tanzania

Mechi ya marudiano ya ya Kundi C la kuwania kufuzu kushiriki fainali zijazo za Kombe la Dunia kati ya timu ya taifa ya Morocco (Simba wa Atlas) na timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itachezwa leo (Jumamosi) usiku jijini Marrakech nchini Morocco.
Tunaitakia kila la kheri timu ya Tanzania katika mchezo huo muhimu , tunaamini maandalizi yametimia na kikosi kipo tayari kwa mchezo huu muhimu utakaoturahisishia njia katika kuelekea kujinyakulia tiketi ya kuweza kushiriki Kombe la Dunia kule nchini Brasil.

No comments:

Post a Comment