Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

July 8, 2014

Mabomu Arusha hali ni tete!




•Zaidi ya watu8 wadhaniwa kuuawa na wengine kujeruhiwa. 
•Ni katika mgahawa wa kihindi ujulikanao kama Vama Restaurant uliopo maeneo ya Gymkhana. 
•Bomu jingine lakutwa limetegwa nyumbani kwa mkuu wa mkoa Arusha Bw.Magesa Mulongo.

Jeshi la Polisi bado halijatoa tamko lolote na linaendelea kufanya uchunguzi juu ya tukio hili la mlipuko wa Bomu ambao ni tukio la sita kutukia jijini Arusha.


1. Olasiti Kanisani 

2. Soweto Chadema
3. USA River mkesha wa mwaka mpya
4. Matako Bar wakati wa UEFA
5. Majengo kwa Sheikh
6. Mgahawa wa kihindi ujulikanao kama Vama Restaurant (sasa)

No comments:

Post a Comment