Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

June 18, 2013

Moto wateketeza duka asubuhi hii katika maeneo ya Kariakoo!




Pichani waokoaji wakivunja milango ya fremu hiyo ili kuweza kupambana na moto huo mkali ambao ulitishia kuweza kuleta madhara zaidi 

Wakati akiwa anaelekea kazini yapata muda wa saa 1:22 asubuhi ya leo hii katika eneo la kariakoo jirani kabisa na Soko kuu la Kariakoo Mpiga Picha wetu alikumbana na tukio hili la moto lililoteketeza kila kilichokuwemo katika duka moja lililokuwa likiuza bidhaa mbalimbali. Mpaka muda ambao mpiga picha wetu anaondoka katika eneo la tukio chanzo cha moto huo bado hakijaweza kufahamika mara moja.

No comments:

Post a Comment