Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

June 18, 2013

Mvua kubwa zasababisha Vifo na Uharibifu mkubwa India! Angalia picha
























Mvua Kubwa zinazoendelea kunyesha katika sehemu mbalimbali nchini India zimepelekea mafuriko makubwa katika miji mbalimbali ikiwemo New Delhi na Mumbai na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 50 sambamba na uharibifu mkubwa wa mali, miundombinu na makazi kadhaa katika sehemu mbalimbali nchini humo ambapo habari zaidi zinaripoti kwamba mpaka sasa kiasi cha familia zaidi ya 15,000 hazina mahali pa kuishi.

Kuangalia Video Bofya Link hii http://www.guardian.co.uk/world/video/2013/jun/17/floodwater-uttarkashi-india-video

Kwa habari zaidi bofya Link hii http://newsinfo.inquirer.net/428219/early-monsoon-hits-india-26-people-dead
 Au
http://timesofindia.indiatimes.com/india/Heavy-rain-lashes-north-India-50-killed/articleshow/20638547.cms 


No comments:

Post a Comment