Wewe kama mwanaume, unaongeleaje kuwa na mpenzi ambaye kiumri amekuzidi? What are some of the positive things in such a relationship? Downsides?
Akina dada nanyi mwaliongeleaje jambo hili?
Iwapo mwanaume ndio aliyemzidi mwanamke umri (10 years or more), kuna uwezekano kukawa na matatizo ya kimahusiano pia?
Inategemea na mtu na mtu kuna watu wanapenda kulelewa ndio zao hizo
ReplyDeleteWhen is it that love has color, creed or age? I am a Diamond fanatico. I thought things were looking good for him and his lovely lady. I guess this went straight to the Jalapa for you my friend. As for the royalties this was definitely a miss match. More like a royal match wedding. As for Ashton Kutcher I hope he is not getting Charlie's mental illness. I am sure he has it already. Could the problem Two And a Half Men.
ReplyDeleteSalva hapa watafuta kununiwa na watu wanaopenda kulelewa heheee
ReplyDeleteAlice, najua lakini kwa busara na hekima zangu mimi ninaonelea kwamba ni bora nichukiwe na watu kutokana na kuongea ukweli kuliko nipendwe na watu kutokana na kuongea Uongo!
ReplyDeletekaaazi kwel kwel, duh, sasa.. anyway, wakishindwana ndio wanatusaidia kukuza mauzo ya magazeti yetu,
ReplyDeleteHata hivyo Wabongo tunapenda udaku
ReplyDeletekwa mitizamo yangu naona Umri sio tija sana watu wanaangalia kitu pesa zaidi kuliko mapenzi
ReplyDeleteHapa hatuangalii pesa tunaangalia nini shida kuwa na mpenzi aliyekuzidi umri, tuachane na wale wanopenda kulelewa, kwa mimi umri si shida mradi tu mnapendana, na hasa mwanamke akiwa amezidi umri uhusiano unakuwa imara sana. wanaopenda kulelewa huwa hawafuati mapenzi, kama unazo poa ukiishiwa wanakuacha.
ReplyDelete