Habari zilizotufikia zinaeleza kuwa Rais Jakaya Kikwete amekutana na viongozi wa CHADEMA ikulu leo. Imesemwa kuwa mkutano huo ni mwendelezo wa mazungumzo kuhusu katiba mpya. Rais Kikwete amesisitiza kuwa ni muhimu kwa vyama vya siasa kuhusishwa katika mazungumzo haya ili kuhakikisha kuwa watanzania wote wanajumuishwa katika mchakato huu. Pia amesisitiza kuwa lengo kuu ni kupatikana kwa katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Katika kikao hicho, walikuwepo pia wawakilishi kutoka chama cha NCCR Mageuzi. Chama hicho kimempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kusimamia suala la katiba vizuri na kwa umakini mkubwa.
Katika kikao hicho, walikuwepo pia wawakilishi kutoka chama cha NCCR Mageuzi. Chama hicho kimempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kusimamia suala la katiba vizuri na kwa umakini mkubwa.
No comments:
Post a Comment