Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dr.Wilbroad Slaa
Habari: Katika hali ya Kutia hamasa, Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dr.Wilbroad Slaa, ameorodheshwa Kwenye Jariba la Uchambuzi wa Masuala ya Kisiasa Nchini Ujerumani Kama Mwanasiasa na Mtu Mwenye Ushawishi Mkubwa zaidi Katika Ukanda wa Afrika ya Mashariki. Dr.Slaa ambaye amewahi Kuwa Mgombea wa Uongozi wa Juu Kabisa Nchini Tanzania, anaangaliwa zaidi Kwa Jicho la Karibu na Watanzania pia Jumuiya za Kimataifa. Mhariri wa Gazeti la Kila Siku Nchini Ujerumani Bw.Iern Madrne akifanya Mahojiano Katika Jimbo la Bavaria, aliwapa Mtazamo wake Kuhusu Nchi zinazoendelea hususani Nchi za Afrika Mashariki na Kuipongeza Kazi Inayofanywa na Chama Cha Upinzani Nchini Tanzania (Chadema) hata Kufikia hatua ya Kuaminiwa na Watanzania zaidi ya 90%. Dr.Slaa anatarajiwa Kuwa na Ziara ya Kikazi Katika Jimbo hilo la Bavaria Nchini Ujerumani hapo baadae Mwaka huu.
Tumaini Makene: 0752691569.
Huyu anachukua nafasi ya Nyerere
ReplyDeleteMzalendo halis
ReplyDeleteCCM wanamchukia sana Dr kwasababu anapigania haki jambo ambalo wao hawalitaki
ReplyDelete