Ningumu kuamini lakini ni UKWELI
Taarifa za upelelezi makosa ya jinai nchini China zinasema 
tarehe 01/7/2012, vijana wawili wenye asili ya kiafrika walikamatwa 
katika uwanja wa ndege wa  Hong Kong usiku, wakiwa na madawa ya kulevya 
yenye thamani ya shilingi za Tanzania Bilioni nne, mkuu wa kitengo 
chakuzuia mihadarati cha uwanja wa Hong Kong  Yiu-Kwong anawataja kuwa 
ni Ridhiwani Jakaya Kikwete na Abdalah Aman Mohamed
Mnamo tarehe  2/7/2012 majira ya saa nne (4:13) za usiku hapa
 Tanzania, rais Jakaya Kikwete alipokea simu kutoka kwa mtanzania mmoja 
aitwae Philip Malmo ambae ni balozi wa Tanzania nchini China, Taarifa 
muhimu baada ya salamu ilikuwa ni Ridhiwani amekamatwa uwanja wa ndege 
wa Hong Kong na madawa ya KULEVYA,
Kwa haraka, rais akamuuliza vipi suala hili limeshafika hapo 
ubalozini? Akajibiwa hapana ni mimi na kaimu wangu tu ndie tumepata 
taarifa hii mda huu, bado hatujaliifanya lakiofisi, tunasubiri ushauri 
wako mheshimiwa.
Rais alikata simu huku hali yake usoni ikibadilika gafla, 
ilichukua kama dakika 20 hivi rais akiwa kimya hata kutikisa macho tu 
hatikisi, baadae akainua simu na kumpigia rais Hu Jintao  wa China, 
Waliongea kwa mda mrefu yapata dakika 40 hivi, na walikonekana kama 
hawakubaliana kitu fulani katika mazungumzo yao. Baadae simu ikakatwa,
Akampigia simu Malmo nakumwambia suala hili walifanye kwa 
siri kubwa asijue mtu yeyote, naaweke maandalizi yawe tayari yeye 
anajiandaa kuja kulimaliza, kasha akampigia tena simu Hu Jintao na 
walitumia dakika 16 tu akainuka nakusema, vijana, mwambie SD53 aandae 
ndege haraka kwa safari ya China,
Gari ya kirai namba T 435 CDR aina ya Landcruiser nyeusi 
iliingia nakuwabeba watu watatu akiwemo rais Jakaya kuelekea airport, 
kama dakika 13 ikafika airport, tayari ndege ilishaandaliwa na palikuwa 
na maafisa watatu, wote tuliingia katika ndege ile isipokuwa yule dereva
 wa gari ambae aligeza mjini, hiyo ilikwa sasa ni saa 7:43 za usiku.
Tarehe 3, majira ya saa nane za usiku kwa china, tulifika 
China, hakukuwa na aina ya mapokezi yoyote ya kiserikali, na baada ya 
kushuka tulimkuta Malmo na msaidizi wake wakitusubiri, Malmo alikuwa 
tayari ameshaandaa hoteli lakini kulingana na tukio lilivyo 
tulikubaliana tusilale na tukammwambia mheshimiwa rais amwambie Hu 
Jintao kuwa ameshafika. Rais alitekeleza hilo na baada ya dakika 15 
maafisa watatu wa china walifika nakujitambulisha kuwa wenyeji wetu, 
wakatuchukua hadi alipo Hu Jintao katika moja ya ikulu ya Hong Kong, 
Kikao chao kilichukua masaa  manne, na jambo kuu walilokuwa 
wanakubaliana ni mashariti ya kumuachia, Hu Jintao alihitaji jambo moja 
tu, kwamba nini serikali ya china itapata kwakumwachia huru Ridhiwani? 
Kilichomvutia Hu Jintao naakamua muachia Ridhwani ni ahadi ya 
makubaliano ya Rais Kikwete kuwa ataipa China fursa ya uwekezaji 
wakudumu kusini mwa Tanzania ambako kumegunduliwa mafuta, gesi, na makaa
 ya mawe.
Kwakuwa sera ya china kwa sasa ni “Now we are going to Africa”, ilisaidia sana kukubali ombi hilo la jk.
Majira ya saa 11 alfajiri kwa saa za china, Ridhiwani 
aliletwa akiwa katika gari dogo, nakupokelewa na jk huku wakikumbatiana 
wote WAKILIA. Jk na Jintao wote kwapamoja wakamuonya sana nakumwambia 
ameliaibisha taifa la Tanzania, lakini kwakujitetea akasema sio yeye, 
ila inawezekana yule kijana waliyesafiri wote kutoka Ethiopia ndie 
mwenye mzigo huo.
Majira ya saa 12 za asubuhi tukaondoka kurudi Tz.
Taarifa hii ni yakweli mimi nilikuwemo kwenye msafara huo, 
Hutaki unaacha, hulazimishwi kuamini.
Chanzo cha habari:  http://jasonbournetz.wordpress.com/2012/09/07/rais-jakaya-kikwete-aiweka-nchi-rehani-kumuokoa-mwanae-asinyongwe-china/
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment