Katika hali isiyokuwa ya kawaida, uchaguzi wa jumuiya ya umoja wa vijana
wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM mkoani Mara, umeingia dosari baada ya
kuzuka vurugu kubwa za kurushiana ngumi, viti, mawe na silaha
mbalimbali za jadi ndani ya ukumbi wa mkutano jambo ambalo
limesababisha mkutano huo kuvunjika kwa muda.
No comments:
Post a Comment