Kiongozi wa kanisa katoliki Duniani Pope Benedict
Habari za kuaminika zilizoifikia Maisha Times zinaripoti kwamba Kiongozi wa kanisa katoliki Duniani Pope Benedict ametangaza uamuzi wake wa kutaka kujiuzulu, uamuzi huo umetokana na
kile anachokisema kwamba ni kukosa nguvu "Physical Strength ya kuizunguka dunia katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku. Habari zaidi zinasema kwamba mwisho wa kuendelea kuwa katika kiti hicho cha upope ni tarehe 28 February 2013.
Kwa mara ya mwisho kujiuzulu kwa Pope ilitokea katika Karne ya 15th ambapo Pope wa kwanza kujiuzuli alikuwa anaitwa Pope Gregory aliyejiuzulu mwaka 1415.
No comments:
Post a Comment