Inavyoonekana mambo ya udini yaliyoanza hivi karibuni,katika nchi yetu hii ambayo haikuwa na mambo hayo, Hayajashughulikiwa kikamilifu. Kwani matukio yanayotokea makanisani ni mengi, na serikali ina changa moto kubwa kuyadhibiti. Endapo kama mambo yataendea hivi kiushemeji shemeji, mwisho wa siku hapa kwetu patakuwa hapatoshi!!!

ReplyDelete