Watu
wanaosadikiwa kuwa ni askari wa mwekezaji wa Grumet Fund katika pori la
Akiba la Ikorongo wilayani Serengeti mkoani Mara wanadaiwa kuwaua
ng'ombe zaidi ya 50 wa mkazi mmoja wa kijiji cha Mariwanda wilayani
Bunda baada ya kudaiwa kuingia katika pori hilo kinyume cha sheria.
sasa polisi mjiandae nanyi kuchinjwa
ReplyDelete